Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Naona umepagawaMmepata sure hongera
Siyo kwa kuchapia huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umepagawaMmepata sure hongera
Hiyo offside ingepatikanaje bila kupambana?Aliepambana nyie kupata goli ni refa na mshika kibendera, shangilieni droo ya kubebwa
Mnapambana na timu iliyopungufu na bado mmebebwaHiyo offside ingepatikanaje bila kupambana?
Kutubeba ni kutunyima goli la halali na kuiita offside?Mnapambana na timu iliyopungufu na bado mmebebwa
Kisa kakosa penalty?Mugalu hakutakiwa kurudi kipindi cha pili leo Mwalimu Da Rosa alichanga karata zake vibaya
Kama alivyokataa goli la Mugalu ambalo lilikuwa halali.Goli la Simba ni offside ila tunasema mshika kibendera ni binadamu naye anaweza kukosea.
Kama timu inaweza dk 50 wakiwa pungufu afu hawafungwi, hiyo ni timu nzuri, walioshindwa kufunga ndio wahojiwe utimamu wao.Binafsi nilichojifunza kwenye mechi ya Simba vs Prisons ni kwamba, katika ligi ya bongo, kuna timu tatu za JKT Tanzania, Polisi Tanzania na Prisons zinazotumia nguvu nyingi bila akili. Ova
Simba ni Lipuli iliyochangamka.Kama alivyokataa goli la Mugalu ambalo lilikuwa halali.
Una ujuzi wa urefa?Prison wana mpira flani wa kishamba matumizi ya nguvu bila akili, una hatarisha maisha ya mchezaji mwenzako.
Kuna matukio mawili wenzetu duniani wanafunika tuta
1. Kumzuia kapombe lile ni tuta
2.Kumsukuma Luis lile ni tuta pia.
Kuna faulo moja alifanyiwa kapombe aalibanwa mkono mpaka anaanguka, lile wenzetu ni tuta pia.
Asa team inayotengeneza zaidi ya penalt 5 mchezo mmoja, huo ni mpira wa kishamba haupo duniani pote.
Penalti na red card zikabuma,line 2 akawapa goli la offside dk ya mwishini, rose mhando fcUto techno zenu zimepona dhahama ya Msolla "Hacked.
Huyu jamaa simpendi aiseeMugalu ni Sarpong aliyechangamka
Simba inapata matokeo ndio maana watu hawaoni upumbavu wa Mugalu ila huyu si mchezaji, hafai kuchezea simbaHuu u-senge umenikera
Huyu Mugallu sitaki nimuone tena msimu huu, leo kazingua sana
Kocha kafanya ujinga wakina Mkude hawakutakiwa kuanza halafu Shabalala na Wawa wasipige ili mradiSimba wamejitakia. Acha wafungwe
Kama huwa unaangalia mpira kusubiri magoli, huwezi mpenda Mugallu.simba inapata matokeo ndio maana watu hawaoni upumbavu wa mugalu ila huyu si mchezaji, hafai kuchezea simba
Footwork bila magoli ni sawa na mwanaume bila hela lakini ana six packKama huwa unaangalia mpira kusubiri magoli, huwezi mpenda mugallu.
Ila ndo striker mwenye footwork nzuri bongo hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Footwork bila magoli ni sawa na mwanaume bila hela lakini ana six pack
Alitupa point 3 Congo hamkusemaWhat is Footwork. Anasajiriwa mshambuliaji kwaajiri ya Footwork au kufunga magoli ?
Namwona Mugalu kama ni mviziaji tu sioni kingine.
Ni mzito kama Yikpe.