Niliwahi kusema nikafokewa, sitasema tena!Mugalu tumepigwa
Kwamba unamkana leo baada ya kuwapa ushindi CongoNarudia tena dkk ya 91 alaaaaniwe aliyemleta Mugalu ndani ya Simba SC
Kila mtu ashinde mechi zakeHa ha naona Utopolo wamefufuka mbaki hivi hivi mpaka mwisho wa ligi
Simba kapigwa?Ndio imeisha hiyo......
πππ€£π€£πTatizo game ijayo hata acheze na ihefu unashangaa anakufa 3