Unaitwa mpapaso squareKufungwa na watu 9 mbona uto wataongea sn
Hata sare hakuna humu, simba inashinda mark my wordsTumepigwa hii game
Sio watu 9 bali kufungwa nje ndani na prisons ni Bonge la aibuKufungwa na watu 9 mbona uto wataongea sn
Kushinda na njaa na sare labda ya Kitchen partyHata sare hakuna humu, simba inashinda mark my words
Ni wakati muafaka wa wewe kujisahaulisha ya juziKushinda na njaa na sare labda ya Kitchen party
Sijui wanacheza nn wakati kile kitimu cha waarabu hakina kituNamungo kule Anko Shamte kapewa red card,wapo 9 uwanjani na washapigwa moja,na wanakimbizwa balaa.
Anything can happen
Namungo wamefika pale kwa bahati mbaya tu,kuna mtu kwenye timu zilizopita alijisahau mahala wakavuka kufika walipo.Sijui wanacheza nn wakati kile kitimu cha waarabu hakina kitu
Mpira dakika 90..Hawa kenge wametuzoea, tuwagonge kama 7 hivi kuwashikisha adabu
Sawa tu ila tukifungwa uwa atuchanganyikiwi kama nyinyi Uto.Watani hivi ndivyo huwa inauma kufungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]