Prison hawafai kabisa hawa....Na game ya kwanza walidharau pia??
Prison ipo kwenye ligi kucheza game kubwa tu
Amekamia utafikiri kaongezwa mshahara jana.?Huyu asukile kama anakula kokotoo
Hata danadana anaweza kweli huyu jamaa.Mwingizeni Manara akafunge.......
Tatizo game ijayo hata acheze na ihefu unashangaa anakufa 3Prison hawafai kabisa hawa....
Au GSM wametembeza bahasha zao??Amekamia utafikiri kaongezwa mshahara jana.?
Sidhani.Mechi itaisha kwa droo ya moja moja
Hahahaah ndio shida ilipo hapo.....Tatizo game ijayo hata acheze na ihefu unashangaa anakufa 3
Manara mei biiAu GSM wametembeza bahasha zao??
Sidhani.
Au prison anakufa kabisa,,,,,Sidhani.