Simba Sc 1 Zamaleki 0

nakumbuka nilikuwa form 2 hapa ndio mapenzi ya dhati kwa Simba yaliponiingia kama mzimu. Nilishangaa nchi nzima imezizima
 
Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Huyu mzeee hazeeki atafikisha miaka 150 duniani, maana kila siku anazidi kuwa kijana
 
Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Kuna watu wamejaliwa miili mizuri ndg. Ukiongeza na mazoezi wanayofanya, ndio utawasahau kabisa.
 
Hii ndio sabajwa waarabu kuiogopa simba maana kama anatoa bingwa mtetezi me timu nyingine itakuwaje? Kipindi hichi kocha alikuwa mkenya siang'a,

Pia huyu kocha alitoa siri ya hawa wakina Dewji walitaka kuuza Ile mechi kule misri ila yeye siang'a alikataa na kuongea na wachezaji,

ninaamini hata Ile final kati ya simba na Stella kwenye kombe la shirikisho watakuwa waliuza Ile mechi sababu wazamini wa simba walikuwa ndio hao walikuwa wanataka kuuza mechi.
 
Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Kaseja ni kama waalimu kuzeeka uchukua muda mrefu.
 
Simba haijawahi kufanikiwa bila udhamini wa Mo au familia ya Dewji . Mafanikio makubwa ya simba unamkuta METL
Lakini mwisho wa siku yanaitwa mafanikio 😁😁😁
 
Lakini mwisho wa siku yanaitwa mafanikio [emoji16][emoji16][emoji16]

Swali ni je wakipewa wananchi wataweza kuendesha timu mpaka kwenye mafanikio hasa ya kimataifa ?
 
Kwa mawazo haya sisi 'wachawi' tukipatiwa nyungo tunapaa...! Unaweza vipi kushuhudia kitu ambacho huna ushahidi nacho?
 
Kwa mawazo haya sisi 'wachawi' tukipatiwa nyungo tunapaa...! Unaweza vipi kushuhudia kitu ambacho huna ushahidi nacho?
Mazingira ya kipindi kile yariruhusu huo ujinga kufanyika na ndio maana hivyo vilabu vilidumaa ssna.
 
Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Nafikri Kaseja kipindi hicho alikuwa kijana mdogo sana possibly below 20.
 
Timu za Tanzania kwenye michuano ya kimataifa miaka hiyo zilikuwa zinahujumiwa na viongozi kwa kuuza mechi au kuvuruga taratibu za logistics.
 
Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Na ndiyo kwanza mwaka huu anatimiza umri wa miaka 28! Kama ilivyo kwa Meddie Kagere na Babu Onyango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…