Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzeee hazeeki atafikisha miaka 150 duniani, maana kila siku anazidi kuwa kijanaHuyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Kuna watu wamejaliwa miili mizuri ndg. Ukiongeza na mazoezi wanayofanya, ndio utawasahau kabisa.Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Kumbe family ya MO walianza kuidhamini simba miaka mingi sana,
Kaseja ni kama waalimu kuzeeka uchukua muda mrefu.Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Nimecheka balaaHuyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Kumbe family ya MO walianza kuidhamini simba miaka mingi sana,
Lakini mwisho wa siku yanaitwa mafanikio 😁😁😁Simba haijawahi kufanikiwa bila udhamini wa Mo au familia ya Dewji . Mafanikio makubwa ya simba unamkuta METL
Lakini mwisho wa siku yanaitwa mafanikio [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa mawazo haya sisi 'wachawi' tukipatiwa nyungo tunapaa...! Unaweza vipi kushuhudia kitu ambacho huna ushahidi nacho?Hii ndio sabajwa waarabu kuiogopa simba maana kama anatoa bingwa mtetezi me timu nyingine itakuwaje? Kipindi hichi kocha alikuwa mkenya siang'a,
Pia huyu kocha alitoa siri ya hawa wakina Dewji walitaka kuuza Ile mechi kule misri ila yeye siang'a alikataa na kuongea na wachezaji,
ninaamini hata Ile final kati ya simba na Stella kwenye kombe la shirikisho watakuwa waliuza Ile mechi sababu wazamini wa simba walikuwa ndio hao walikuwa wanataka kuuza mechi.
Mazingira ya kipindi kile yariruhusu huo ujinga kufanyika na ndio maana hivyo vilabu vilidumaa ssna.Kwa mawazo haya sisi 'wachawi' tukipatiwa nyungo tunapaa...! Unaweza vipi kushuhudia kitu ambacho huna ushahidi nacho?
Nafikri Kaseja kipindi hicho alikuwa kijana mdogo sana possibly below 20.Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.
Timu za Tanzania kwenye michuano ya kimataifa miaka hiyo zilikuwa zinahujumiwa na viongozi kwa kuuza mechi au kuvuruga taratibu za logistics.Hii ndio sabajwa waarabu kuiogopa simba maana kama anatoa bingwa mtetezi me timu nyingine itakuwaje? Kipindi hichi kocha alikuwa mkenya siang'a,
Pia huyu kocha alitoa siri ya hawa wakina Dewji walitaka kuuza Ile mechi kule misri ila yeye siang'a alikataa na kuongea na wachezaji,
ninaamini hata Ile final kati ya simba na Stella kwenye kombe la shirikisho watakuwa waliuza Ile mechi sababu wazamini wa simba walikuwa ndio hao walikuwa wanataka kuuza mechi.
Na ndiyo kwanza mwaka huu anatimiza umri wa miaka 28! Kama ilivyo kwa Meddie Kagere na Babu Onyango.Huyu Juma Kaseja mimi nipo darasa la pili yeye anadaka mpira hatari! sasa hivi ukiniangalia mimi utafikiri ni kaka yake.