Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Mapinduzi Cup leo Jumatano Saa 10:15 jioni, Simba SC kuanza michuano hii kwa kumenyana na Selem View ambao walipata sare tasa mechi ya kwanza.

Je, leo ni Simba ama Selem View nani kupata ushindi wa kwanza?

Lakini Kubwa zaidi ni kuona Viwango vya wachezaji.

Tuwe hapa
 
Namtakia Kila la Kheri Shiboub kwenye Majaribio yake.
KIKOSI KINACHOANZA:
1. Beno
2. Jimson
3.Gadiel
4.Kened
5. Wawa
6. Kanoute
7. Dilunga
8. Mzamiru
9. Bocco
10. Bwalya
11. Sacko
 
Shibob karudi?
Namtakia Kila la Kheri Shiboub kwenye Majaribio yake.
KIKOSI KINACHOANZA:
1. Beno
2. Jimson
3.Gadiel
4.Kened
5. Wawa
6. Kanoute
7. Dilunga
8. Mzamiru
9. Bocco
10. Bwalya
11. Sacko
 
Hii ndio bongo

Mechi imetangazwa kuchezwa saa 16:00 lakini saizi saa 16:13 ndo kwanza wachezaji wanapiga picha uwanjani
 
Hawa view nao sio wakuwadharau, wamepiga ball hapa sio kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…