Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

hawa madogo ilibidi leo kila mmoja aondoke na goli lake
 
Kakolanya angepewa earphone aendelee kula mangoma tu maana yuko bored pale golini
 
Huyu ostaz mohamed kajilaza chini anapoteza muda anaulizwa nini sababu eti nahitaji maji, na wanaongozwa goli mbili
 
Aliyempa huyo moukoro hiyo bukta haendi mbinguni
 
Mugalu kaingia kwa wrath ya ajabu yani hana masikhara inaonekana
 
Back
Top Bottom