hakika sio bureeeamini uchawi upo
kwan Boko anafanya nini hapo kiwanjan[emoji848][emoji848]
amini uchawi upo
wachezaji kama akina boco ndo wanao turoga. Kakolanya si anachat na demu wake pale au ww hujamuona angalia vzrKakolanya angepewa earphone aendelee kula mangoma tu maana yuko bored pale golini
Phiri utamsikia kwenye bomba tu[emoji23][emoji23][emoji23]Simba Yule Phiri tungemchukua hata kwaajiri ya Ligi Kuu. Hatuna Striker 100% Si Bocco Si Kagere Si Mugalu
ALAFU HUYU NI MSHAMBULIAJI SIJUI INAKUWAJE KURUDI KUZUIAHuyu Jimmyson Alisajiriwa kugombania namba na nani?
Mkuu,Kuna namna kwa Hawa wachezaji wetu si burekwani Dilunga anakumbia kama Rahim Sterling au mm ndo macho yangu yako na ukunguu
umeona wametoka watu wa maana ye kabakihakika sio bureee
yaan nimeshindwa hadi kushangaaumeona wametoka watu wa maana ye kabaki