Simba SC 2 - 1 Aigle Noir C.S à Arusha Tanzanie

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
16 September 2021
Arusha, Tanzania

Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya kimataifa ya CAF Champion league. Mchezo wa kirafiki baina ya Simba SC dhidi ya Aigle Noir C.S ya Burundi uliofanyika Arusha Tanzania. Kibu Denis na Bernard Morrison waifungia mabao Simba SC.

Match Amical : Simba SC 2 - 1 Aigle Noir C.S à ARUSHA - TANZANIE


Source : Aigle Nour C.S The Fighters
 
wamecheza vizuri ila inaonekanika mpishi wa magoli hakuna
Walicheza 3_5_2......
Nadhani mwalimu alikuwa anatest mfumo wa kuzuia, maana kiungo mshcambuliaji alikuwa pape pekee.
Ilikuwa hivi.
Manula
Wawa, Nyoni, Onyango
Kapombe, kanoute, mzamiru, Pape, zimbwe
Kagere kibu
 
Manula katoa boko.

Manula atasema bado yupo mafunzoni anajifunza jinsi ya kujinafasi dhidi ya mashambulizi / matukio ya kustukiza ambayo ni nadra kuyapata ktk mechi za ligi yetu ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…