Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sinaga kabisa muda wa kuishabikia Simba au Yanga, nazijua vizuri hizo timu hususani inapofika wakati zinapokutana. Mambo mengi sana huzuka ikiwemo Hila, Hongo, Vitisho, Ushirikina, Fujo nk.Ushaaanza woga! Kitu nganganga haina kudevela marinda yanafumuliwa nitakuwa Na keki yenu Leo.
Acha viroba weweSimba wanapata penati
Punguza kkihere.Simba wanapata penati
Subir Mkuu ngoma mbichiHapa hatupati goli kweli...!
Bado mapemaSubir Mkuu ngoma mbichi
Yanga wameingia na viwembemwe refa mbona tshirt imechanika kwa nyuma.
Niambie mkuu.
Kha......sasa askari wote hao wa nini??Toba!
Safi bwana shemeji...heri ya mwaka mpya....matokeo ndo kama ulivyosikia[emoji12]Niambie mkuu.
Za siku nyingi
Hahahaah ndio shemeji nusu ya pili nasawazishaSafi bwana shemeji...heri ya mwaka mpya....matokeo ndo kama ulivyosikia[emoji12]
Sawa kabisa ila tuagane kabla hujazima simuHahahaah ndio shemeji nusu ya pili nasawazisha