Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Moira unaanza tena,kipindi cha pili kipindi cha Simba,zamu ya Simba
 
Leo simba ushindi kama kalambwanda.....

Salamu kwa wanamsimbazi wote
 
Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
ungekuwa mke wangu ningeshakupa talaka.
 
Red card simba ambarakate bukungu. Hahahaha chirwaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom