Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawashika mwshoni
semeni tena
Tuliza nshono weweNdio amefunga?
Ndo kawaida ya Kichuya kwa yanga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu goli zuri aisee dah
Yanga sio mzazi wako ruksa kuhamia msimbazi Mkuu...Yanga msitufanyie hivi jamani daaha
Dakika ya 90 tayari sasa tunasubiri dakika 4 tu za nyongezaDakika ya ngapi mkuu?
Aah na wewe yangaAah WEMA kapeleka gundu uwanjani sijui yukoje. Maskini yanga yangu imepelekwa central
Nifah game nyingune nitabet na wewe nanilii ndala mkigongwa nakukula...!Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans