Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Wauza unga wamelegea kama mlenda WA singida!
 
Ushahidi wote unaonyesha kwamba timu hii hucheza vizuri zaidi ikiwa na wachezaji pungufu.

Game iliyopita Shiza kichuya alisawazisha wakati timu yake ikiwa na wachezaji pungufu , ushahidi mwingine ni huu wa leo wa kutoka nyuma hadi kuongoza 2 - 1 ikiwa na wachezaji pungufu .

Hii kitu tusiichukulie poa , kama inaruhusiwa mechi ijayo na yanga tuingize wachezaji 10 tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…