Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

SIMBA INASHINDA-NILISEMA
 
Mateja hawana kelele tena, mbaya saana. Rangi za CCM hizo nazichukia.
 
Kwa kweli timu yangu ya Simba inanikosha sana. Tupo pungufu uwanjani lakini kama tumeenea. Mpira umeisha, na tumeshinda. Tena timu yangu inanifurahisha sana, jana imezindua App ambayo unaweza kushiriki mijadala, kualika marafiki, kupata taarifa za kina, kununua jezi na vifaa vingine na kuona mahojiano, mechi au mabao. Unaweza kuipata App hiyo kwa ku click hapa na kisha utaingia katika page halisi itakayokupeleka play store.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…