Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Wamenizuia kwenda na vuvuzela langu kwenye jukwaa la viongozi , kumbe kukaa na viongozi unakosa uhuru kiasi hiki !
 
Dah mechi saa kumi wewe umeshaanza updates saa hizi huna kazi Mkuu? Tayari upo NMS? NATIONAL MAIN STADIUM?
Si wote wenye njaa mkuu ,kamwe hali yako usifananishe na mwenzio...Kuna watu pesa inafanya kazi badala yao,si wao kufanya kazi kwa ajili ya pesa kama Wewe.
 
Kila la kheri Yanga, tuna imani nanyi. Leo Yanga inadondosha mvua ya goli zaidi ya moja. Uwezo huo tunao, hutaki kalambe sumu.
Yanga daima mbele, nyuma mwiko. Ila mkia huwa nyuma wanajijua.

#teamyangaforever#
 
Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
Upo shost nimefurahi kukusikia!
 
Simba chama kubwa ndala watakuwa raizoni
 
Game ya leo haina msisimko. Mpira ukishachanganya na siasa hauna ladha. Askari wengi kuliko mashabiki utafikiri tunaenda kuangalia mpira Juba, Mogadishu au Darfur
 
Ni matumaini yangu leo Timu ya Wananchi tutaibuka na ushindi mnono. Update zitakuja mubashara kwa wale ambao hawajafika uwanjani. Mashushushu kibao uwanjani. Ukitoa ipad tuu mijicho hiyo.
 
Na Mimi nipo uwanjani nitajitahdi na mimi kuweka updatea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…