Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Hivyo vigrass hua namuona navyo Dada yangu Nifah kila Ndala wakishinda.. Kuhusu leo... mpaka sasa sijaonana nae
Utamwonaje sasa kwa mfano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaugulia maumivu pole yake[emoji22]
 
Tuheshimiane sasa!

Hahahaaa!


Mmepewa penalti...

Watu wakala Kadi nyekundu...

Bado mkapigwa mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nimeshangaa eti kale kagoli ka penati nao wakajidai kushangilia. Wataalam na mafundi wa mpira tukawasubiri baadaye tukawatandika wakalowaa chapwa chapwa hahaaaa simba ni viumbe toka sayari nyingine aise waiache tu
 
Nimeipenda hiyo namba 3.
 
Nnaaamani mpaka raha!!! Mwede sober tu!!! Ila walikua arosto naskia ati!!!
 
Tulipopigwa bao la penati nilivunja kiti hapa bar lakini baada ya kusawazisha na kuongeza kwa furaha nimelipa viti vitatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wachezaji wa yanga walikuwa wanawaza 15% ya Loan board
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…