sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
asante nawe piaLakini kwa simba hakuna presha bwana mwendo mdundo n araha mustarehe. Uwe na jioni njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante nawe piaLakini kwa simba hakuna presha bwana mwendo mdundo n araha mustarehe. Uwe na jioni njema
Kwanza nimeshangaa eti kale kagoli ka penati nao wakajidai kushangilia. Wataalam na mafundi wa mpira tukawasubiri baadaye tukawatandika wakalowaa chapwa chapwa hahaaaa simba ni viumbe toka sayari nyingine aise waiache tuTuheshimiane sasa!
Hahahaaa!
Mmepewa penalti...
Watu wakala Kadi nyekundu...
Bado mkapigwa mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
Aibu ya karne hii mkuu!Ni aibu kubwa kwa Yanga kufungwa na Simba ikiwa na wachezaji 10[emoji23][emoji23][emoji23]
Searching for Madam Nifah everywhere, Thanking God you right here now. I did the searching just to say good evening madam and to let you know that I miss you so much.Kama nakuona vile [emoji4]
Nimeipenda hiyo namba 3.1. Yanga kichwa cha mwendawazimu
2. Yanga yaaibika taifa.
3. Yaendeleza uteja kwa Simba
4. Yebo yebo si lolote kwa Simba
5. Yanga yafyata mkia kwa Simba
6. Mnyama kamrarua ndala fc
7. Simba ni simba tu.
8. Simba acha maneno weka mziki
9. Simba mnyama unyamani
10. Yanga ni sawa na mfamaji
Hahahahaa hebu niache kwanza banaBado unaota tu kwamba Simba amekufa [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdomo mbaya sana
[emoji23] kamatia chini!!![emoji444] [emoji445] [emoji443]The mutoto na ngaya!
Piga watoto ya manji goli 2 safiii
Pole mtani, amsimbazi pale ni kicheko tuHahahahaja hebu niache kwanza bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulipopigwa bao la penati nilivunja kiti hapa bar lakini baada ya kusawazisha na kuongeza kwa furaha nimelipa viti vitatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichuya amemgeuza munishi Salome wake!
Babu Asprin nimekumiss ile mbaya, sema umenikuta kwenye majonzi, ningekutoa leo out babu.Leo nimegundua ni bora ufoji vyeti kuliko ubwie unga....
nanunaga ikifungwa Man Utd tu ila yanga kawaida sana.