Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Leo nilijitahidi nisi coment
maana moyo ulikuwa juu
Simbaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Wachezaji wa Yanga wanastahili viboko wakawaonyeshe wake zao..... Wachezaji wazito hawakimbii..... Yaani kero tupu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…