Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 431
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahahaha kuna mtu kaja na gundu zake Taifa.
Yamekuwa haya tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahahaha kuna mtu kaja na gundu zake Taifa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alichofanya *kichuya leo* kinaitwa baba mkanye mwanao asile *ngada*
Upo? Msalimie Makoye Matale.Hahahahaa hebu niache kwanza bana
Nilishiwa nguvu aisee...
Kwa jinsi umri unavyozidi kusogea ! Hizi mambo inabidi kuziacha aisee! Goli moja tu nusu nizimie!Nilishiwa nguvu aisee...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] tumekutafunen.. mmebak kitu?Kaka dakika ya 3 mmeliwa, sasa mpaka zifike dakika 90, hatutakuwa na pa kuwala. Poleni sana hiyo ndiyo Yanga niijuayo. Mtalala na viatu.
#teamyangaforever#
nilitaka nishangae.Hahahaha wewe tena?? Sithubutu kukusahau...
Upo? Msalimie Makoye Matale.Hahahahaa hebu niache kwanza bana
Upo? Msalimie Makoye Matale.Hahahahaa hebu niache kwanza bana
Kabisaaa nataka haki itendeke[emoji23][emoji23][emoji23]ukizingatia kaomba mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Next time Simba vs Yanga Waingie wachezaji 10 tu wa Simba Ila Yanga Muingie Wote 11
Duh! jamani ansanten Simba mmenipa raha!Nnaaamani mpaka raha!!! Mwede sober tu!!! Ila walikua arosto naskia ati!!!
Ingekuwa na hv kwenye kubeti pia...asante mkuu ulikuwa sawa
Utakesha ukisubiria ban yangu. Ukwendereeee hukoHa ha haaaaaa mpeni ban huyuuuuu jamani