sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
kwa kweli yanga forever.Yanga nawapenda kwa mahaba yote ila F u Yanga. Halafu mods wala msinipe ban, pale nni wine ndiyo iliomba ban. But l love Yanga hawa wehu
#teamyangaforever#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kweli yanga forever.Yanga nawapenda kwa mahaba yote ila F u Yanga. Halafu mods wala msinipe ban, pale nni wine ndiyo iliomba ban. But l love Yanga hawa wehu
#teamyangaforever#
Ila pole mpenzi... ndio mpira huo...nilitaka nishangae.
Mmmhh... itakuwa kama kulazimishana bhana... khaaa!!hahahhahaa, siyo utayapata ya hasira za kufungwa.
Asubuii mtu kaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you a lot Masuke hahaha kaka Makoye Matale kachoka na drama za mpira wa bongo, tumwache apumzike kwanza. Upo jamani long time.Upo? Msalimie Makoye Matale.
Shukrani Mkuu.Hongereni wana Simba kwa ushindi.
Poleee mamy....Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
nshapoa nikikumbuka mahaba yakoIla pole mpenzi... ndio mpira huo...
[emoji56]Jeri muro gooooooo,lwandamimba gooooooo
Ndala fc 3 - 2 SIMBA
Upo kama PELE wa BraziliUtabiri
Yanga 2 - Simba 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23]😀 😀 Ndiyo Kawaida Yake Mwanamke Kutangulia Kutandika Kitanda Baadae Mume Akalala tu....
teamyanga down here!
lazima tuwatoe nishai mikia!
Labda serikali inawatisha mikia wasing'oe viti kwa mvua ya magoli watakayokutana nayo