Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Hii kaliNingeshangaa leo teja FC kutufunga..!
Kweli umetabiri ................Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
Huyu kawa janga jangwaniIla kichuya ana bahati sana na yanga..
He always score at impossible situations..[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
naona unataka kuhalalisha kuchepuka leo.Mmmhh... itakuwa kama kulazimishana bhana... khaaa!!
naona unataka kuhalalisha kuchepuka leo.
hahahahaaa aya bwana mie nachek game ya chelsea sasa hivi. mnyama nishamalizana nae.Aungurumapo Simba mnyama mcheza nani?
tena nakuja wizout kabisaKwakweli jirani... itifaki izingatiwe tu kwa maana hamna namna tena...
Hahahaha Linamo kumbe hunipendi eeh haya bana.Modes naomba utimize wajibu hapa[emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 474517 Daah hata tambwe hajawasaidia
hapana, ingawa natamanigi mara moja moja. tehNawe huwa unachepuka mrembo?