Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

hahahahahah mi nilidhani la mambo ya kikubwa lol! kule bado 1-1 na Costa hajaona ndani.

hahahaha , ujue hili ni jukwaa la mpira eeeh, embu tupeane na update za chelsea. cheeers
 
Simba inakikosi imara chenye damu changa.Sasa hawa vyura wameja mababu tu pale.
 
3bc5e05fe18e86f79b8e1ce89ca2e207.jpg
 
Unga Limited FC.... leo mtalala na viatu kwa namna mlivyohenyeshwa

Simba SC ni moto wa kuotea mbali
 
Back
Top Bottom