Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

0203b406486ea8ea0dee2279b7d90cc5.jpg
 
Shukurani zote ziende kwa Wanasimba wote, vijana wamejituma wanahitaji pongezi nyingi. Nakushukuruni wachezaji wa simba mmetamba uwanja wa taifa, kila la kheri timu ya simba.
 
Back
Top Bottom