Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

1. Yanga kichwa cha mwendawazimu
2. Yanga yaaibika taifa.
3. Yaendeleza uteja kwa Simba
4. Yebo yebo si lolote kwa Simba
5. Yanga yafyata mkia kwa Simba
6. Mnyama kamrarua ndala fc
7. Simba ni simba tu.
8. Simba acha maneno weka mziki
9. Simba mnyama unyamani
10. Yanga ni sawa na mfamaji
Ya
11. YANGA ni muuza Ngada
 
Jeshi la Polisi linamsikiliza zaidi Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuliko Waziri wa Mambo ya Ndani

Hapo ndipo utakapojua kufoji vyeti si sawa na kubwia unga...

Kichuya Mungu anakuona mwanangu...
 
Ila azam nao waache ushabiki bana si tunajua kweli simba ni mshindi sasa mnatuwekea picha ya simba pale kwenye screen mnataka idadi ya waliozimia iongezeke na huku hospital hamna madawa ......
 
Leo kama moyo wa manji haujasimama cjui, nan ana namba yake anipe nimpigie.
 
Nifa pole sana sipati picha ulivyo umia leo.Nakushauri kalale kabisa kuondoa msongo wa mawazo.
 
51bb765c92cd07c32d6dd334cf7605a2.jpg


Hawa Nao Wapo Simba ha ha ha ha....
 
Back
Top Bottom