Simba SC 2022/2023

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Kuelekea msimu wa 2022/2023 Simba wanatakiwa watafute kocha wa kueleweka ama wasajili wachezaji wa kueleweka ama vyote kwa pamoja.

Over.

Inatakiwa total overhaul. Hii ni kwa wachezaji wageni wote kasoro Inonga, Chama na Morrison. Mikataba iwe performance based sio mtu anacheza anavyojisikia.
Onyango.......?
 
Kocha mzuri sana abaki. labda wachezaji ndo wafumuliwe.
 
Huyu kocha kwasababu ametokea madrid kuna uwezekano wa kumpata Marcelo ambaye mkataba wake unaisha mwezi June hata yule Isco
 
Ngoja nivute kiti niwasikilize Makolo wanavyomjadili kocha aliyefundisha Real Madrid

Ila si muongee na kocha mumsajili Benzema
 
Inatakiwa total overhaul. Hii ni kwa wachezaji wageni wote kasoro Inonga, Chama na Morrison. Mikataba iwe performance based sio mtu anacheza anavyojisikia.
Kanoute abaki mashine ile
 
Inatakiwa total overhaul. Hii ni kwa wachezaji wageni wote kasoro Inonga, Chama na Morrison. Mikataba iwe performance based sio mtu anacheza anavyojisikia.
Huyu Morison kuna siku atawagharimu simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…