Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyango.......?Inatakiwa total overhaul. Hii ni kwa wachezaji wageni wote kasoro Inonga, Chama na Morrison. Mikataba iwe performance based sio mtu anacheza anavyojisikia.
Kanoute abaki mashine ileInatakiwa total overhaul. Hii ni kwa wachezaji wageni wote kasoro Inonga, Chama na Morrison. Mikataba iwe performance based sio mtu anacheza anavyojisikia.
Hivi kwa hiyo striking force ya Simba kwa sasa hata ukimleta Gurdiola hapo unategemea nini?Kuelekea msimu wa 2022/2023 Simba wanatakiwa watafute kocha wa kueleweka ama wasajili wachezaji wa kueleweka ama vyote kwa pamoja.
Over.
View attachment 2206577
Huyu atabaki sana.Bwalya akibaki basi mganga wake fundi
Kocha Yuko vizuri,Ila wachezaji wengi ni Vimeo kwa sasa. Niambie kwa sasa Simba wana Striker?
Huyu Morison kuna siku atawagharimu simbaInatakiwa total overhaul. Hii ni kwa wachezaji wageni wote kasoro Inonga, Chama na Morrison. Mikataba iwe performance based sio mtu anacheza anavyojisikia.