Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Simba SC 3-0 JKT Tanzania FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Embu mwenye chati ya msimamo wa ligi aiweke apa tuone mnyama anavyompumulia Uto kwa points.

Kuna afande mmoja alisikika akisema kufungwa goli 3 na Simba ni Ushindi maaana hata hao Ahly wenyewe walikuwa Bin Taaban

Mi niko interested kujua... kati hayo magoli matatu, tumefunga mangapi kwa penalti?
 

Attachments

  • 1614620506332.png
    1614620506332.png
    24 KB · Views: 1
Ingekuwa kidimbwi FC, kesho ungesikia maandamano...

Juzi niliongea na wachezaji wetu, nikawaambia hawawezi kuunga mkono juhudi za vyura. Tukipewa penalti wapige nje... Nyie wote ni mashahidi wangu ... mliona Kagere alivyopiga nje... Wajinga wanadhani alikosa kumbe alikuwa anafuata maagizo kutoka juu...
Sasa hivi simba hata tukipata penati tunapiga nje, huo ndio mpango.

Sent from my itel A12 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom