Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hebu acha uongo wako mara moja tafadhališHaitakuwepo. Nasikia simba wamesusa kama ilivyo kawaida yao. Mashabiki wao wamesema timu isiende uwanjani mpaka Juma Mgunda aajiriwe kama kocha mkuu, na msaidizi wake abakie kuwa Matola.
Cc: Mimi Wewe Yule