Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hebu acha uongo wako mara moja tafadhali😂Haitakuwepo. Nasikia simba wamesusa kama ilivyo kawaida yao. Mashabiki wao wamesema timu isiende uwanjani mpaka Juma Mgunda aajiriwe kama kocha mkuu, na msaidizi wake abakie kuwa Matola.
Weka vikosiNext match : Simba SC vs Namungo Fc game itapigwa saa 8:15PM
All the best Simba SC 🦁
#Nguvu moja
Tunaangalia show ya Mutale na Morice tutapata wapi muda wa kuandikaMbona kimya humu? Au ndio draw zinaendelea?
GoodSecond half imeanza..
Wote uwezo ni ule ule tuKibu atasugua benchi sana
Morice ni hatari