Simba Sc 3-0 Namungo Fc l NBC premier League lBenjamin Mkapa Stadiuml 1 October 2025

Huwa waanza kwa kuwakandia kwanza; "hapo Simba hakuna wachezaji. Yaani hayupo hata mmoja wa kupata namba pale Yanga", huku kisiri siri wanawavutia waya. Bloody fucken kabisa Yanga!
Wanawavutia waya ili kuidhoofisha Simba na sio lingine. Angalia wachezaji waliotoka Simba kwenda Yanga je wangapi waliingia kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…