Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Huyu chama apewe bed rest tu...ili trh 8 awe mtamu zaidi.

Kama ambavyo konde boy anapewa mapumziko.
Konde boy anapewa mapumziko Kwa sababu anacheza kwa kujituma Sana na anatumia Sana nguvu, ye popote anaingia tu wala haogopi kwahiyo anakuwa kwenye risk kubwa ya kuumia lakini pia anatoka Yuko Hoi balaa

Ila chama anacheza kama ozil akili nyingi nguvu kisoda kwahiyo ata fatik anakuwa Hana, anaweza kucheza mechi zote za ligi na club bingwa bila kupumzishwa, kwahiyo chama trh 8 atakuwa ni Yule Yule wa siku zote mkuu
 
Sawa babu. Hii Simba msimu ujao inabidi tuombe tu hata tushiriki ligi ya Sauzi au Misri maana hapa bongo wanatupotezea tu nguvu zetu bure hakuna wakushindana na sisi.
Bundesliga itapendeza zaidi. Sisi na Bayern Munich wote tumemfunga Al Ahly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…