Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Nimegundua kushabikia Mpira ni raha Sana hasa ukichagua timu yenye viwango Kama Simba miaka 3 nyuma sikua kabisa mpenzi wa Mpira zaidi ya kuangalia matokeo tu na ule ushabiki wa juu juu Ila sasa hata stress zimepungua Sana sababu ya mpira.
nimekua na marafiki wengi kutokana na kujichanganya tofauti na mwanzo
Una bahati ulichagua Simba ungechagua Utopolo labda ungeshakunywa sumu siku nyingi sana.
 
This Is Simba brazaaa
Screenshot_20210427-205638.png
 
Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika, ili wapagawe we usichachawe we yagawe kiuhakika

Wachachawe kabisa mpaka wainawe hii vita, ili kila ukipita pawe na sifa SIMBA inatishaaaa..........View attachment 1765855
ukiwauliza viongozi wa Yanga watakwambia hawajakata tamaa. Au wao wana tebo tofauti na hili?
 
Back
Top Bottom