Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Sasa nadhani mmeiona faida ya Mugalu huyu jamaa ni mtu mbaya sana hakuna beki anayependa kukabana naye huwa hatoki kwenye box muda wote yuko pale wale ma center beki wawili inabidi wakae nae muda wote wakizubaa tu kidogo wayaa.
 
mkuu hilo sisi hatuna shida nalo kabisaa. ugomvi wetu ni kukosa magoli ya wazi. Kwa hiyo kocha amemfundisha kuzuia beki halafu goli za wazi akose? tunamtaka atumie vizuri nafasi anazopata
 
Back
Top Bottom