Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

Sasa nadhani mmeiona faida ya Mugalu huyu jamaa ni mtu mbaya sana hakuna beki anayependa kukabana naye huwa hatoki kwenye box muda wote yuko pale wale ma center beki wawili inabidi wakae nae muda wote wakizubaa tu kidogo wayaa.
Tatizo butu akibaki na lango.
 
Nimegundua kushabikia Mpira ni raha Sana hasa ukichagua timu yenye viwango Kama Simba miaka 3 nyuma sikua kabisa mpenzi wa Mpira zaidi ya kuangalia matokeo tu na ule ushabiki wa juu juu Ila sasa hata stress zimepungua Sana sababu ya mpira.
Nimekuwa na marafiki wengi kutokana na kujichanganya tofauti na mwanzo
 
mkuu hilo sisi hatuna shida nalo kabisaa. ugomvi wetu ni kukosa magoli ya wazi. Kwa hiyo kocha amemfundisha kuzuia beki halafu goli za wazi akose? tunamtaka atumie vizuri nafasi anazopata
Mkuu Kagere kaingia hapo sasa angalia Kama utaziona tena hizo nafasi za wazi alizokuwa anakosa Mugalu maana yangu ni kwamba huyu Mugalu hata Kama anakosa lakini nafasi anatengeneza unaziona lakini hawa wengine hata kutengeneza nafasi tu ni mtihani shekh.

Hapo sasahivi unaona sasa jinsi mabeki walivyo huru kupeleka mashambulizi kwa Simba ?
Unaona dodoma wanavyokuja?
 
Sisi tuko zetu mbele huko tunawakilisha.
FB_IMG_16194610276815999.jpg
 
Mkuu Kagere kaingia hapo sasa angalia Kama utaziona tena hizo nafasi za wazi alizokuwa anakosa Mugalu maana yangu ni kwamba huyu Mugalu hata Kama anakosa lakini nafasi anatengeneza unaziona lakini hawa wengine hata kutengeneza nafasi tu ni mtihani shekh.

Hapo sasahivi unaona sasa jinsi mabeki walivyo huru kupeleka mashambulizi kwa Simba ?
Unaona dodoma wanavyokuja?
Kweli kabisa, Kagere hana mguu wa kukaa na mpira

Hata penalt ni mbovuu sana na hata akipata ni kama zali tu
 
Back
Top Bottom