Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Mchezaji akizifunga Yanga na Simba mmoja wapo lazima amchukue ndiyo maana wakija wanafail maana anachukuliwa bila kujua kwenye timu aliyokuwepo ni wachezaji wa aina gani walikuwa wanambeba.
 
Mugalu anapigaje kichwa, mara ya pili anakosa la kichwa
 
Mpaka sasa hawa jamaa wanajua hawana nafasi wanachofanya ni kupoteza muda na kuwakazia simba kipindi cha kwanza watakijutia.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Bwalya anazingua yaani Morrison yupo free anazunguka zunguka na kukaa na mpira.
 
Simba tuache ukuda na ushamba sasa beamlights laser za nini kumulika wachezaji na kipa wa USG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…