Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Ndio ajabu hio mkuu, unajiuliza hivi timu haina maskauti maalum wa kuwajua wachezaji na jinsi ya kuwatafuta huko afrika na kwinginekoj
Au ndio alimradi tu wachukue hata kama ni magarasa alimradi wapate 10% kutoka kwao kila mwezi, na mwenye timu unajiita tajiri una hela , inasaidia nini kama huwez kutumia pesa kusajili wachezaji wazuri
Mchezaji akizifunga Yanga na Simba mmoja wapo lazima amchukue ndiyo maana wakija wanafail maana anachukuliwa bila kujua kwenye timu aliyokuwepo ni wachezaji wa aina gani walikuwa wanambeba.
 
Mugalu anapigaje kichwa, mara ya pili anakosa la kichwa
 
Mpaka sasa hawa jamaa wanajua hawana nafasi wanachofanya ni kupoteza muda na kuwakazia simba kipindi cha kwanza watakijutia.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Bwalya anazingua yaani Morrison yupo free anazunguka zunguka na kukaa na mpira.
 
Simba tuache ukuda na ushamba sasa beamlights laser za nini kumulika wachezaji na kipa wa USG
 
Back
Top Bottom