Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Kama vipi Kombe libaki Tz
ndo tunalijadili hapa niko na bodi nzima na kuna mjumbe kasema naye alikuwa na wazo kama hilo na alijaribu kuongea na uongozi tangu huko headquaters kuwa walibebe waje nalo ila changamoto ikaonekana aliyeshika funguo la droo alipatwa na msiba

Kwa hiyo hapa tunajadili ikiwezekana tutangazwe ubingwa halafu tumsubiri amalize msiba tuje tuchukue ndoo
 
Timu ya Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022.

Matokeo hayo ya michuano hiyo ambao ipo chini ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) yameiwezesha Simba kufikisha pointi 10 katika Kundi D, mabao yakiwekwa wavuni na Sadio Kanoute, Chris Mugalu aliyefunga mabao mawili na moja Gendarmerie wakijifunga.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…