Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mimosas hawaamini kabisa[emoji23]Imeisha iyo
View attachment 2174811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimosas hawaamini kabisa[emoji23]Imeisha iyo
View attachment 2174811
Hata mkivuka hatua hii, huko mnakwenda kuchakazwaLigi gani wewe chura wanaume tunalipigania taifa uku
Sasa hii tochi inafika wapi??View attachment 2174813
Nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndo tunalijadili hapa niko na bodi nzima na kuna mjumbe kasema naye alikuwa na wazo kama hilo na alijaribu kuongea na uongozi tangu huko headquaters kuwa walibebe waje nalo ila changamoto ikaonekana aliyeshika funguo la droo alipatwa na msibaKama vipi Kombe libaki Tz
haya rudi au bado unakunya?Hatimaye wamerudi kwenye Uzi wao waliokuwa wameukimbia......nitarudi Adebayor akifanya yake
🤣🤣🤣Mlijificha wapi.... hongereni banaNaona kinyoonge Mr nyau nyau pole Sana kaka 😁😁😁😁 jifariji unaongoza ligi
🤣🤣Hii mechi kama watu wamenunuliwa vile
Jitawaze mkuua[emoji23][emoji23][emoji23]Hii mechi kama watu wamenunuliwa vile
Hahaa njoo na ww tukunune maana sisi tunakulaaaagaaaaaHii mechi kama watu wamenunuliwa vile
Hii ni sawa na zawadi ya bingwa wa NBC PL mara ngapi?Simba akivuka hatua hii anaingiza $350,000 kibindoni