Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni kweli kabisa, na itapendeza zaidi.Simba hta mkitoka sawa tu hamna jipya
Nafasi za wazi kabisa mnakosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa, na itapendeza zaidi.Simba hta mkitoka sawa tu hamna jipya
Nafasi za wazi kabisa mnakosa
[emoji1787]Nikweli kabisa,na itapendeza zaidi
Nitatulia mkifunga na kufuzu kwasasa kutulia ngumu mkuu wakati sioni goli 🤣
Serious??
Anasogea sana juu, anaweza kuchunguliwa la mbali 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Leo mjini paka wamepotea sana, tutawaona sekandi hafu.Huku Kwa Benjamin Mbona mambo magumu, Au Paka Hayupo?
Ndicho kitafanyikaAnasogea sana juu, anaweza kuchunguliwa la mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Benchi simuoniBocco alihitajika sana