Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ngoja kwanza tupate raha za Mnyama Simba [emoji881][emoji881]La pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanza tupate raha za Mnyama Simba [emoji881][emoji881]La pili
Nawaangalia hapa mnavyowanyanyasa wageni.Ngoja kwanza tupate raha za Mnyama Simba [emoji881][emoji881]
Wala siyo sababu Mikia wamefunga magoli mazuri....ila sikuwa nimeona tochiMmeanza kutafuta visababu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mugalu ama Morrison leo lazima atupie au asababishe
Watu tunataka tukale daku.Mpira ungeisha ukizingatia ni usiku sana afu tupo kwenye mfungo
Wamepigwa kofi juu ya kidonda au wamekula damu yenye kirusi?Waliofurahi kua nzi leo wanafia juu ya kidonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]Mnakimbilia kuanzisha nyuzi wakati sherehe sio yenu