Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Hahaha hahaha hahaha hahaha haaaahh hii ni Simba brother hii ni Simba next level .
Mnao lia mko wapi? Mnao teseka mko wapi ? Hii ndio Simba ya kimataifa brother.
 
4, hili mmepewa na kipa anawapendeni sana. Ameomba msamaha kwa usumbufu aliowapa kipindi cha 1.
 
Back
Top Bottom