Hivi ninyi utopolo mna akili kweli!!😂😂Bado hujamaliza kutaja hayo makundi ya watu! Endelea....
Mguto oyeee!
Almas Kasongo safiii!!
Tatu Malogo oyee!
Kepha Kayombo oyee!
Japhet Smart oyee!
Shomary Lawi oyee!
Penati Fc oyee!
Mbereko Fc oyee!
Halafu unaitikia
Oyeeee!! Safiii!
Kwamba Polisi inaingilia masuala ya mpira wapewe pointi 3😂😂Leteni ujinga tena,mtatandikwa na polisi mpeleke tena kesi CAS
wasee sana hao
Kuna watu utawafanya wasilete timu kweliPamba jiji wapigwa 5 baada ya kukubali kucheza na simba
Huyo aliebaki ni wa dabi😎Mimi nataka tu kufahamu kwenye hii mechi ya leo atachezesha nani kati ya wale waamuzi wetu maalum? Maana Kepha Kayombo tayari amechezesha dhidi ya Mashujaa na matokeo tumeyaona! Japhet Smart amechezesha dhidi ya JKT!
Bado amebakia Tatu Malogo tu ili mzunguko utimie! Au atarudishwa tena Kepha Kayombo?
Wanaoleta vurugu ni mashabiki,si unaona wanavyopanga vurugu, mashabiki watatandikwa na polisi ili kusiwe na vurugu,polisi ni suala la ulinzi na usalama watu wapigwa virungu na game itachezwaKwamba Polisi inaingilia masuala ya mpira wapewe pointi 3😂😂
Huko CAS nadhani hata hawahangaika kusoma rufaa au utetezi wa Yanga maana walishajua ni vilaza hawa
😄😄😂Simmb wasee sana
Waleteni tena tuone,tunataka tucheze na Utopolo sio mabaunsaTangu lini huo uwanja umeanza kulindwa na polisi? Mimi nauliza mkikutana na mabaunsa 10 wamesimama pale getini, mtacheza au mtasusa tena?
Umeona offside za kipindi cha kwanza kwa upande wa Pamba Jiji? Kipindi cha pili mpaka kinaisha hakuna mahali amenyoosha kibendera kwa ajili ya offside, wala faulo! Mpaka kuna mchezaji wa Pamba Jiji alimlalamikia na yale ma make up yake usoni.Ukike unacheza mkuu?
Kwa hyo ilitakiwa pamba washinde au sio!Umeona offside za kipindi cha kwanza kwa upande wa Pamba Jiji? Kipindi cha pili mpaka kinaisha hakuna mahali amenyoosha kibendera kwa ajili ya offside, wala faulo! Mpaka kuna mchezaji wa Pamba Jiji alimlalamikia na yale ma make up yake usoni.
Yanga akishinda ni GSM! Ila simba ikishinda vipi!Kwa hyo ilitakiwa pamba washinde au sio!
Hujajibu swali mkuu... kwa hiyo kwa ulivyoiangalia game score ya matokeo nani alistahili kushinda Leo kwa performance ya uwanjani?Yanga akishinda ni GSM! Ila simba ikishinda vipi!
Mpira ulikuwa ni 50/50 mpaka pale mwamuzi alipo puliza filimbi na kuruhusu penati yenye utata kama ilivyo kawaida. Kwa hiyo naweza kusema mchezo ungeweza kuisha hata kwa sare.Hujajibu swali mkuu... kwa hiyo kwa ulivyoiangalia game score ya matokeo nani alistahili kushinda Leo kwa performance ya uwanjani?
Mkuu pumzika kidogoMpira ulikuwa ni 50/50 mpaka pale mwamuzi alipo puliza filimbi na kuruhusu penati yenye utata kama ilivyo kawaida. Kwa hiyo naweza kusema mchezo ungeweza kuisha hata kwa sare.
Mbali ya ile penalty kwa hyo magoli yale mengine ya open play hayakustahili?Mpira ulikuwa ni 50/50 mpaka pale mwamuzi alipo puliza filimbi na kuruhusu penati yenye utata kama ilivyo kawaida. Kwa hiyo naweza kusema mchezo ungeweza kuisha hata kwa sare.
Shida ya mpira wa miguu ikitokea makosa ya aina ile yanaweza kusababisha wachezaji kutoka nje ya mchezo. Na sidhani kama mnafahamu wachezaji wengi wa timu ndogo wanahisi mnapendelewa na waamuzi.Mbali ya ile penalty kwa hyo magoli yale mengine ya open play hayakustahili?
Sawa ndugu Mwasibu.Mkuu pumzika kidogo