Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Hii mambo ya kuteuana ndio inaleta watu kama kina Try Again , Mangungu, imani Kajula watu ambao uwezo wao kwenye football management ni mdogo sana.
Hii itasababisha kila kocha ataonekana hafai
Hizo nafasi zao tangazeni na watu wenye Sifa wataaply kisha mtawafanyia interview from independent committee na watawaletea watu wazuri kuliko mnachofanya sasa.
Watendaji wenye sifa na wataalam wa football managements wapo.
Wekeni mtendaji ambae, when it comes about scouting, anakuwa wa moto na hataki ujinga wa kuletewa watu aina ya Sarr sijui Jobe
Tangazeni kazi hizo hata mmi nitaaply, mpira ni biashara, toeni hizo mtu tatu zilizojaza ugali kichwani.
Pamoja na yote, tarehe 20 tabu ipo pale pale. Sio chini ya goli tatu. Na SSC next year out Champion league