Simba wamecheza vizuri mnoPapatu papatu nyingi mno, wachezaji hawatulii na mipira, mawenge mengi kichwani,
chama na kapombe walitakiwa watoke muda mrefu sana,
Namba 6, 8 na 10 simba hawana wachezaji nafasi hizi... Hasa namba 6....
Chama amempa kazi ya ziada Kibu Denis... Hongera kwake Kibu