SIMBA SC, baada ya kumfunga Yanga zile TANO, sasa hivi ni lazima tukubali hili !

Hi mkuu Makoye Matale , naona siku hizi full tabasamu wazee wa yanga.
Ni kuridhika tu Mkuu na hali tuliyonayo. Kuna vita kuu mbele yetu, tunahitaji sapoti yenu wenye mapenzi mema na Tanzania. Tumechukiana na kuzomeana kati ya Simba na Yanga kwa muda mrefu sasa, tujiulize tumepata faida gani? Umefika wakati tubadilike, timu inapopeperusha bendera ya Taifa tuwe kitu kimoja, tuishangilie. Kwa wale wahafidhina wakae kimya tu lakini wasiwashangilie wageni pia.

Natanguliza shukrani kwa wote wa 'upande wa pili' mnaojiandaa kutuunga mkono.
 
Hahahaah mimi niko tayari kuwaunga mkono.
 
Hii ya kunyamaza kimya iliwahi kufanyika kwa muda siku Simba inapambana na Stella Artoir kwenye fainali ya Kombe la CAF uwanja wa zamani wa Taifa. Ni kwa heshima ya Mzee Ruksa aliyehamasisha umma wa Watanzania kuonesha uzalendo kwa kuishangilia Simba siku hiyo. Akawaomba watakaoshimdwa kuishangilia (hasa wapenzi wa Yanga) basi angalau wakae kimya. Ikawa hivyo hata baada ya Simba kutanguliwa goli moja. Lakini Boli Zozzo alipofunga la pili dakika za lala salama, Yanga wakashindwa kujiziwia! Wakaja na kibwagizo 'Uzalendo... umetushinda!' Huo ndio ukawa mwanzo wa maneno 'uzalendo umeshinda' kutumika kwa maana ya kuishiwa na ustahamilivu.
Yanga walikaa kimya si kwa kumheshimu Mzee Ruksa, lakini kwa kuogopa masimango ya Simba; mpira walikuwa wakicheza Simba uliashiria wangepata bao muda wowote, hata baada ya kutanguliwa. Stella walikuwa wamewekwa nusu-uwanja hadi katikati ya kipindi cha kwanza. Hadi hapo Kaseja hakuwa amepata msukosuko wowote kiasi cha wapenzi kupiga mayowe 'Jamani mpelekeeni kigoda Mwameja akae na gazeti la Uhuru asome!' Yanga walipata nguvu baada ya goli la pili na dakika zikiwa zimeshayoyoma. Ndio hatimaye wakaja na wimbo mwengine 'Kombe letu ...... linaondoka!'
Hoja yangu ni kwamba muda wote timu mojawapo ya hizi ikicheza kiasi cha kuwafunika wageni wanaocheza nao, watani wao hawatathubutu kuwashangilia wageni.
 
watu wa CCM siwapendi kwa dhati kutoka moyoni mwangu
 
Back
Top Bottom