Hahahaah mtani usijali nakuja.Mtani ujue bado nakusubiri uje.
Hi Mkuu Katavi.Hahahaah mtani usijali nakuja.
Hi mkuu Makoye Matale , naona siku hizi full tabasamu wazee wa yanga.Hi Mkuu Katavi.
Ni kuridhika tu Mkuu na hali tuliyonayo. Kuna vita kuu mbele yetu, tunahitaji sapoti yenu wenye mapenzi mema na Tanzania. Tumechukiana na kuzomeana kati ya Simba na Yanga kwa muda mrefu sasa, tujiulize tumepata faida gani? Umefika wakati tubadilike, timu inapopeperusha bendera ya Taifa tuwe kitu kimoja, tuishangilie. Kwa wale wahafidhina wakae kimya tu lakini wasiwashangilie wageni pia.Hi mkuu Makoye Matale , naona siku hizi full tabasamu wazee wa yanga.
Hahahaah mimi niko tayari kuwaunga mkono.Ni kuridhika tu Mkuu na hali tuliyonayo. Kuna vita kuu mbele yetu, tunahitaji sapoti yenu wenye mapenzi mema na Tanzania. Tumechukiana na kuzomeana kati ya Simba na Yanga kwa muda mrefu sasa, tujiulize tumepata faida gani? Umefika wakati tubadilike, timu inapopeperusha bendera ya Taifa tuwe kitu kimoja, tuishangilie. Kwa wale wahafidhina wakae kimya tu lakini wasiwashangilie wageni pia.
Natanguliza shukrani kwa wote wa 'upande wa pili' mnaojiandaa kutuunga mkono.
Ni kuridhika tu Mkuu na hali tuliyonayo. Kuna vita kuu mbele yetu, tunahitaji sapoti yenu wenye mapenzi mema na Tanzania. Tumechukiana na kuzomeana kati ya Simba na Yanga kwa muda mrefu sasa, tujiulize tumepata faida gani? Umefika wakati tubadilike, timu inapopeperusha bendera ya Taifa tuwe kitu kimoja, tuishangilie. Kwa wale wahafidhina wakae kimya tu lakini wasiwashangilie wageni pia.
Natanguliza shukrani kwa wote wa 'upande wa pili' mnaojiandaa kutuunga mkono.