Simba SC bingwa U20

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Team ya Simba chini ya miaka 20 imefanikiwa kuchukua kombe baada ya kuifunga team ya Azam Fc kwa mikwaju ya penalty 5-3 kabla ya hapo team hizi zilitoka sare ya 2-2 mchezo uliochwzwa kwa dakika 120.... Hongera team yangu ya Simba walindeni hao vijana
 
Ndo maana mafanikio yako mbali yaani anaishi maisha ya soka yy anaangalia kandambili tu
 
Watapata matunzo hasa baada ya mkutano wa leo. MO kupewa timu na alivyo msomi mzuri katika mipango ya maendeleo.Hawawezi kutupwa.
 
Wale vijana wa defence ya kati wako vizuri sana. Wakitunzwa miaka 2 ijayo watakuwa tayari kwa majukumu makub wa zaidi
 
Hongereni sana Simba U20.. Hakika ile kazi aliyoianza Nico Kiondo.. matunda yake yameanza kuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…