Simba SC bora iachane na Chama

Chama namfananisha na mti mkubwa uliopo karibu na nyumba, ukitaka kuukata huo mti ni lazima uwe na mahesabu mazuri lasivyo huo mti utaidondokea nyumba na kuivunja.

Simba wasimchukulie chama kirahisi kwani huyu mchezaji amekuwa ndio injini ya timu kwa muda mrefu na mpaka sasa mbadala wake hakuna pale msimbazi. Inapaswa wamsikilize na kumpa kile anachokiitaji.
 
Huo muda ulikuwa ni muda upi?

Kwani matokeo mabaya tunayopata na Chama akiwemo tumewezaje kuvumilia?

Na vipi tukikuambia most ya hayo matokeo mabaya yamechangiwa na Chama mwenyewe?

Chama anaondoka Simba and you will never notice his gap
Unavyoweka mkazo eti lazima aondoke utadhani una maamuzi yeyote kwenye uongozi wa simba
 
Asingekuwa chama Leo mngeliwa nyii makolo.
 
Wote mnaotaka simba iachane na chama hamna hoja zakitaalamu na hamsemi mbadala wake ni nani.wengi wenu mnaongea kishabiki tu na mara zote chama amekua akiwajibu kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…