Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Chama namfananisha na mti mkubwa uliopo karibu na nyumba, ukitaka kuukata huo mti ni lazima uwe na mahesabu mazuri lasivyo huo mti utaidondokea nyumba na kuivunja.
Simba wasimchukulie chama kirahisi kwani huyu mchezaji amekuwa ndio injini ya timu kwa muda mrefu na mpaka sasa mbadala wake hakuna pale msimbazi. Inapaswa wamsikilize na kumpa kile anachokiitaji.